r/Kenya•
Annual_Cream_85

Kwani pedi?

Ask r/Kenya

Okay..

Kuna pedi nikishika zake mi nikuoverthink, anxiety, na roho inadunda kama inatoka and paranoia

But kuna mwingine nkishika natulia kabisa.

Kwani tofauti wadau ni gani

Posted Sep 11, 2025, 4:58 PM UTC

916
Loading comments…