Stima Drama 😂😂
Kuna makosa ilifanyika bana jana hapa Magongo Mombasa. Siett hii mambo ya stima kupoteapotea ovyo ovyo itakuja vunja ndoa mingi. Jamaa ametoka ulevi zake na ako kutu ajab sijui alikuwa amelamba nini. Kufika kwake stima ikapotea buana. Anajua kwake so akaingia kwake akagongana mtu. Kidogo hivo ni makisses tupu kwa giza😂kumbe dem hakuwa amemshow her mother atakuwa around that day kumamaye. Mother-in-law wa siku hizi venye hukuwa ndani boiz alisharusha mother in law kwa kiti. Katika hio harakati stima ikarudi buana. Bibi pia ndio huyo🤣 Msolombo nayo pia iko position mafrumbanya ni live tu sasa. Bibi alichukua vitu zake akaenda buana.
Posted Jan 7, 2026, 3:08 PM UTC
11