Gig
So guys kuna hii gig flani nilipata ,imekua ikiwork fiti sana but kwa capital kama hauna inakutoa ,I used kupiga outlier na ilkua na doo $220 per week this was an investment ya my friend alkua ana source the account na me napiga task,rn nko na ingine and its paying well,am not talking about task lakini sai nko poa
Posted Jun 2, 2026, 1:02 PM UTC
16