Nilidhani ni loyalty test

Random

Nimekutana na vitu huku nje bana.

Nimeenda kwa dame mmoja, vibes ziko sawa. Kabla mambo ianze akaangalia simu yangu akasema, "Leta phone yako kidogo."

Mimi hapo ndani nikaanza kuhesabu dhambi zangu zote. Nikajiambia, "Aah, leo ndio siku ya interrogation. Ataanza na Instagram, amalizie WhatsApp."

Nikampea simu nikiwa tayari kujitetea kwa vitu hata sijafanya.

Kumbe dem hana hata interest na chats zangu. Anafungua Chrome, anaenda straight kwa ngwati, anatafuta mastingo mpya kabisa.

Halafu ananigeukia na confidence ya lecturer akisema:

"Hii technique sijawai ona. Tuwatch kwanza then we try it on ourselves."

Mimi nikakaa hapo nashangaa.

Nilikuwa nimejiandaa kwa accusations za cheating, kumbe nimeingizwa practical lesson bila notice.

I tell you watu tulikuja Nairobi na basi we keep on seeing things

Posted Jun 12, 2026, 12:49 PM UTC

6812
Loading comments…