Na kwani unataftia nani pesa😂😂
Vijana sikieni sasa niwaambie ,hii pesa hatutafuti ya kuweka kwa bank. Apana! Hii pesa tunatafuta ndio tuitumie tuiwache hapa penye tuliiipata alafu tukufe. Sasa wewe usiogope kutumia hii pesa ukipata. Kwani ulikua unatafuta ya nini? Mimi kwanza mambo ya savings niliwacha kapsaa. Sababu niligundua maisha sio kipindi aki. This thing called death is very bladfakin. Kifo inakujanga,haijali ata kama uko na mipango. Kifo inapita nawewe ata ukiwa juu ya slayqueen umewacha bibi nyumbani bwana
Kifo haijali kama umejinyima miaka ishirini,ukasave,ndio uanze kujenga nyumba next week. Inakuja tu. Sasa juu sitaki kifo inipate off guard,niliamua hii wakati niko nayo ndio nitatumia kujitengenesa. Mimi singoji 2050 ati nianze kutumia pesa yangu,hiyo ni ublarinugu. Last year nilichukua nduthi,hii mwaka nimechukua TV kubwa sana imejaza ukuta side moja ya bedsitter
Leo nimeamka usiku kupiga nduru nikidhani Fisi zimeingia kwa nyumba kasarani,kumbe ni Fisi siko kwa TV bwana. TV maduong. Hii ata siwezi soma subtitles aki,kabla nimalize kusoma mpaka mwisho,huku pande ya right washaanza mangumi bwana. Ni mbaya aki. Mimi ata nikikufa kesho,siwezi skia uchungu ati nimewacha pesa kwa bank. Si nishaanunua TV. Miaka yangu hapa duniani nimeitumia msuri kapsa.
Na nimewaacha.
Posted Jun 27, 2026, 10:16 AM UTC