Wewe nimekujua

Dem wangu ameniambia leo asumbui ati "nimejua wewe ninani".

Nimenda job kurudi napata ame-enda ka hajaniambia mimi ninani.

Sasa mimi ninani surely?

Posted Aug 12, 2026, 8:22 PM UTC

10
Loading comments…