r/254sum•
wanted_04_

Khabusie mwana!..akia ngai

Random

Yani huyu ni mimi nahamia apartment iko na lift kwa economy ya Ruto. Na sasa ingekua wakati ya kibaki aki,sahii si ningekua ata na kachiwawa,jioni natokelezea nako namna hii nimedunga vest kama Mike Tyson pale Beverly hills,ni kuwakunywa tu

Posted Sep 6, 2026, 3:23 AM UTC

61
Loading comments…